Home »
» JESHI LAPOLISI MKOANI MARA LINAMSHIKILIA ASKARI WAKE KWA MAUAJI
JESHI LAPOLISI MKOANI MARA LINAMSHIKILIA ASKARI WAKE KWA MAUAJI
Jeshi la polisi mkoani Mara linamshikilia askari wake mmoja mwenye namba G.1420 Gwamaka mwakatundu kwa tuhuma za mauaji ya mwanamke mmoja,ambaye anadaiwa kuuawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali katika sehemu mbalimbali za mwili wake.
Kamanda wa polisi mkoani Mara kamishina msaidizi wa jeshi la polisi ACP Philip Alex Kalangi,amesema mwili wa mwanamke huyo bi Angela Kigokola umekutwa ukiwa nje ya nyumba askari huyo ambaye ni shemeji wa marehemu katika mtaa wa mkinyerero kata ya Mwisenge katika manispaa ya Musoma mkoani Mara
Nao baadhi ya watu ambao wamefika kushuhudia tukio hilo , akiwemo mwenyekiti wa mtaa huo bw Ragita Nyamwero, wamesema mazingira yanaonyesha kuwa mauaji hayo yamefanyika ndani ya chumba cha askari huyo kisha mwili huo kutolewa na kutupwa nje ya nyumba hiyo kwa lengo la kuficha ukweli…
… .bw Ragita Nyamwero-m/kiti wa mtaa Mkinyerero-Musoma na Bi Adira Tarimo-jirani
Mwili wa mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 24 umehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitali ya mkoa wa Mara mjini Musoma kwaajili ya kufanyiwa uchunguzi zaidi.
Related Posts:
Malori yote ya msafara wa misaada kutoka Urusi ambayo yalisafiri bila idhini hadi katika eneo linalodhibitiwa na waasi mashariki mwa Ukraine siku ya ijumaa yamerudi nchini Urusi. Afisa mmoja wa forodha amesema kuwa malori kadhaa yalikaguliwa na kurudi nchini Urusi. Zaidi ya malori mia mbili ya misaada yalisafiri hadi katika mji wa Luhansk siku ya ijumaa,baada ya Urusi kusema kuwa imechoka kungojea… Read More
Justin Bieber umuoa LULU (ELIZABETH MICHAEL) haya ndiyo aliyoandika katika mtandao wa instagraam (ataamka pale ndoto zake zitakapotimia) Mapemaaaa...Kabla cku haijawa ngumu..! Haya ni hv wale wa kuandika ndoto za nn cjui...Mara cjui huwezi kumpata na cjui kimepanda… Read More
matokeo ya mechi za premier league Aston Villa 0 - 0 Newcastle United Southampton 0 - 0 West Bromwich Albion Chelsea 2 - 0 Leicester City half-time: (0 - 0) match details : 63'Diego Costa 1, 77'Eden Hazard 2 Crystal Palace 1 - 3 West Ham United half-time: (… Read More
Nick Minaj auawimbo wa Nick minaj umevunja recodi ya kuangaliwa na watu wengi zaid ndani ya masaa 24 umesema mtandao wa vevo, minaji kavunja record iliyowekwa na Miley Cyrus (Wrecking Ball) uliotazana na 12.3 million Nick… Read More
Rihanna na Chris brown kuna nini kinaendelea????? Rihanna na Chris brown kushow love! Chris brown akiwa anaheza mpira wa kikapu kuonesha upendo Rihanna alikuwa amekaa anacheki game inavyokwenda huku akionesha upendo(akishow love) Ila wameonekana wa… Read More