Justin Bieber umuoa LULU (ELIZABETH MICHAEL)
haya ndiyo aliyoandika katika mtandao wa instagraam (ataamka pale ndoto zake zitakapotimia)
Mapemaaaa...Kabla cku haijawa ngumu..! Haya ni hv wale wa kuandika ndoto za nn cjui...Mara cjui huwezi kumpata na cjui kimepanda kimeshuka...msinijazie comment😂😂😂Acha niwape ufafanuzi kdgo...ni hv Huyu Bwana swala ya yy kupenda....nimemwachia awapende kina @selenagomez na wengine wote anaotaka kuwapenda...ila swala la yy kupendwa Aniachie Mimi....yan hyo kazi yangu....!!!Sasa Kama ni ndoto Wallah ctaki kuamka,Kama ni ufala...yani ninaukubali kwa asilimia 150%,na mengine mengine yote...sasa Kama nakuchefua,Nina uhakika Zile ndimu za @diamondplatnumz haziwezi kukutosha mana hiki kichefuchefu co cha kuisha,bora utafute mbegu ya Malimao au mbilimbi upande kwako kbsa....Na hili Zoezi ni endelevu...yani kila Jumatatu...Kama Mshahara vile....!!! #MCM...... #Nilikuwepo🏃
Related Posts:
MILEY CYRUS APIGWA MARUFUKU SANTO DOMINGO Serikali ya Jamhuri ya Dominican imempiga marufuku Miley Cyrus kufanya onesho lake katika mji mkuu kutokana na uchezaji wake. Msanii huyo alikuwa afanye onesho lake Septemba 13 jijini Santo Domingo.Mamlaka zinasema … Read More
Diamond atangaza ndoa Diamon na mpenziwe Wema Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platinumz ametangaza ndoa na mchumba wake wa muda mrefu Wema Sepetu anayosema itafungwa hivi karibuni. Msanii huyo ghali zaidi nchini kwa sasa, ametamka ha… Read More
Justin Bieber umuoa LULU (ELIZABETH MICHAEL) haya ndiyo aliyoandika katika mtandao wa instagraam (ataamka pale ndoto zake zitakapotimia) Mapemaaaa...Kabla cku haijawa ngumu..! Haya ni hv wale wa kuandika ndoto za nn cjui...Mara cjui huwezi kumpata na cjui kimepanda… Read More
BIFU YA KAJALA NA WEMA NINI KINAENDELEA!!!!!!!!STAA wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja, ameibuka na kudai kuwa ameweka vitu vyote vya kitoto pembeni likiwemo suala la malumbano na kujikita katika suala la ujasiriamali. Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja.… Read More
Nick Minaj auawimbo wa Nick minaj umevunja recodi ya kuangaliwa na watu wengi zaid ndani ya masaa 24 umesema mtandao wa vevo, minaji kavunja record iliyowekwa na Miley Cyrus (Wrecking Ball) uliotazana na 12.3 million Nick… Read More