IKULU YA MAREKANI YAVAMIWA
A man jumped over the White House fence on Wednesday night, but this time, the man barely made it onto the lawn before being taken down by a K-9 and quickly detained by Secret Service agents.
Related Posts:
matokeo ya mechi za premier league Aston Villa 0 - 0 Newcastle United Southampton 0 - 0 West Bromwich Albion Chelsea 2 - 0 Leicester City half-time: (0 - 0) match details : 63'Diego Costa 1, 77'Eden Hazard 2 Crystal Palace 1 - 3 West Ham United half-time: (… Read More
Muingereza mwenye Ebola arejeshwa kwao Maafisa wa serikali ya Uingereza wanasema kuwa mfanyakazi mmoja wa utabibu kutoka Uingereza ambaye ameambukizwa virusi vya Ebola nchini Sierra Leone, ataletwa Uingereza. Atasafirishwa kwa ndege ya jeshi la wanahewa la Uin… Read More
Mateka waendeshwa kwata Ukraine Wapiganaji wa mashariki mwa Ukraine wanaoipendelea Urusi wamewaendesha kwata katika barabara za mji wa Donetsk, wanajeshi kadha wa Ukraine waliowateka. Donetsk ni ngome ya wapiganaji hao. Mambo hayo yamejiri siku ya kuadhi… Read More
Malori yote ya msafara wa misaada kutoka Urusi ambayo yalisafiri bila idhini hadi katika eneo linalodhibitiwa na waasi mashariki mwa Ukraine siku ya ijumaa yamerudi nchini Urusi. Afisa mmoja wa forodha amesema kuwa malori kadhaa yalikaguliwa na kurudi nchini Urusi. Zaidi ya malori mia mbili ya misaada yalisafiri hadi katika mji wa Luhansk siku ya ijumaa,baada ya Urusi kusema kuwa imechoka kungojea… Read More
DRC: Watu wawili wafa kwa Ebola Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo imesema watu wawili wamekufa kutokana na ugonjwa wa Ebola, uliolipuka kaskazini-magharibi mwa nchi hiyo. Hao ni wagonjwa wa kwanza wa Ebola kuripotiwa nje ya Afrika Magharibi tang… Read More