Jumla ya watu 19 wamepoteza maisha kwenye ajali zilizotokea mkoani
Dodoma na Arusha jana. Ajali hizo zimesababisha majeruhi 70. Ajali ya
kwanza ilikuw aya basi la abiria na lori ambapo watu 17 walikufa na 56
kujeruhiwa.
source:
https://www.facebook.com/192327770849023/photos/a.585969761484820.1073741826.192327770849023/671661576248971/?type=1&theater