Atashtakiwa kwa kosa la matumizi mabovu ya madaraka
chanzo: http://www.usatoday.com/story/news/politics/2014/07/29/president-obama-appeals-court-health-care-law/13316989/
Kijiji chafunikwa na maporomoko,India
Zaidi ya watu 200 wanahofiwa kukwama katika
maporomoko ya udongo nchini India,huku 20 wakithibitishwa kufariki dunia
katika kijiji cha kijiji cha Malin karibu na mji wa Pune lilikotokea
janga hilo.
Kazi ya uokoaji inaend…Read More
Polisi akamatwa kwa wizi wa Cocaine
Polisi wa Ufaransa wamemkamata afisa mmoja wa kukabiliana na mihadarati kwa kuiba kilo hamsini za Cocaine kutoka makao makuu ya polisi mjini Paris.
Dawa hiyo yenye thamani ya dola millioni 4 ilikuwa imefungiwa katika chumba…Read More
Tetemeko la ardhi China laua 380
Wafanyakazi wa Uokoaji nchini China wanaendelea kujitahidi kufikia eneo la lilipigwa na tetemeko la ardhi katika jimbo la Yunnan siku ya jumapili na kuua watu zaidi ya mia tatu na themanini.
Kikosi cha dharura kinajaribu ku…Read More
Kobe aliyepotea akamatwa na polisi huo Los Angeles
ALHAMBRA, Calif. (AP) -- At least officers didn't have to cite it for speeding when the Alhambra Police Department pulled over a giant tortoise found wandering on a local street.
Police say the hard-shelled reptile was nab…Read More
Ebola:Shule zote zafungwa Liberia
Rais wa Liberia,Ellen Johson Sirleaf ametangaza amri
ya kufungwa kwa shule zote nchini humo kama mpango wa taifa hilo wa
kukabiliana na ugonjwa wa homa ya Ebola.
Mpango huo pia unashirikisha kuzitenga baadhi ya jamii zil…Read More