Ajali ya ferri
ferry iliyokuwa imebeba abiria takribani 200 imezama katika mto kusini mwa mjimkuu Dhaka. Ripoti zinasema takribani abiria 50 wameokolewa
Related Posts:
Raisi Barack OBama kufikishwa mahakamani Atashtakiwa kwa kosa la matumizi mabovu ya madaraka chanzo: http://www.usatoday.com/story/news/politics/2014/07/29/president-obama-appeals-court-health-care-law/13316989/ … Read More
matokeo ya mechi za premier league Aston Villa 0 - 0 Newcastle United Southampton 0 - 0 West Bromwich Albion Chelsea 2 - 0 Leicester City half-time: (0 - 0) match details : 63'Diego Costa 1, 77'Eden Hazard 2 Crystal Palace 1 - 3 West Ham United half-time: (… Read More
Tetemeko la ardhi China laua 380 Wafanyakazi wa Uokoaji nchini China wanaendelea kujitahidi kufikia eneo la lilipigwa na tetemeko la ardhi katika jimbo la Yunnan siku ya jumapili na kuua watu zaidi ya mia tatu na themanini. Kikosi cha dharura kinajaribu ku… Read More
Malori yote ya msafara wa misaada kutoka Urusi ambayo yalisafiri bila idhini hadi katika eneo linalodhibitiwa na waasi mashariki mwa Ukraine siku ya ijumaa yamerudi nchini Urusi. Afisa mmoja wa forodha amesema kuwa malori kadhaa yalikaguliwa na kurudi nchini Urusi. Zaidi ya malori mia mbili ya misaada yalisafiri hadi katika mji wa Luhansk siku ya ijumaa,baada ya Urusi kusema kuwa imechoka kungojea… Read More
DRC: Watu wawili wafa kwa Ebola Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo imesema watu wawili wamekufa kutokana na ugonjwa wa Ebola, uliolipuka kaskazini-magharibi mwa nchi hiyo. Hao ni wagonjwa wa kwanza wa Ebola kuripotiwa nje ya Afrika Magharibi tang… Read More