Tottenham kumsajili Mateo Musacchio kwa £17m
Tottenham Hotspur mbioni kumsajili Mateo Musacchio, kutoka Villarreal , ambae pia ni mchezaji wa timu ya taifa ya Argentina, Jambo litakalopelekea kuuzwa kwa wachezaji wao wawili (Vlad Chiriches na Michael Dawson.)
Chanzo: