BIFU YA KAJALA NA WEMA NINI KINAENDELEA!!!!!!!!

STAA wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja, ameibuka na kudai kuwa ameweka vitu vyote vya kitoto pembeni likiwemo suala la malumbano na kujikita katika suala la ujasiriamali.
 
Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja. 
Akizungumza na paparazi wetu, Kajala alisema amefanya tathmini na kugundua mastaa wengi wamekuwa wakiambulia umaskini baada ya umaarufu kupotea hivyo ameona ashtuke mapema kwa kufanya biashara mbalimbali ambazo zitamjengea msingi mzuri maishani.
kajala-wema
 “Nimeshtuka, sihitaji bifu na mtu, biashara tu na hata safari za nchini China kwa sasa ni kwa ajili ya biashara pekee na si vinginevyo, ukitaka pochi, viatu na vitu vingine vingi utapata,” alisema Kajala aliyekuwa akiogelea katika bifu kali na aliyekuwa shosti wake, Wema Sepetu.

Related Posts:

  • Nick Minaj auawimbo wa Nick minaj umevunja recodi ya kuangaliwa na watu wengi zaid ndani ya masaa 24 umesema mtandao wa vevo, minaji kavunja record iliyowekwa na Miley Cyrus (Wrecking Ball) uliotazana na 12.3 million Nick… Read More
  • Rihanna na Chris brown kuna nini kinaendelea????? Rihanna na Chris brown  kushow love!  Chris brown akiwa anaheza mpira wa kikapu kuonesha upendo Rihanna alikuwa amekaa anacheki game inavyokwenda huku akionesha upendo(akishow love) Ila wameonekana wa… Read More
  • MILEY CYRUS APIGWA MARUFUKU SANTO DOMINGO Serikali ya Jamhuri ya Dominican imempiga marufuku Miley Cyrus kufanya onesho lake katika mji mkuu kutokana na uchezaji wake. Msanii huyo alikuwa afanye onesho lake Septemba 13 jijini Santo Domingo.Mamlaka zinasema … Read More
  • NGOMA MPYA YA CHIDI BENZ AKIMSHIRIKISHA A-Y NA DIAMONDI Ngoma aliyoitambulisha katika kipindi cha xxl ngoma ambayo beat katengeneza Dully ngoma yenyewe hii hapa Icheki hapa… Read More
  • Diamond atangaza ndoa Diamon na mpenziwe Wema Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platinumz ametangaza ndoa na mchumba wake wa muda mrefu Wema Sepetu anayosema itafungwa hivi karibuni. Msanii huyo ghali zaidi nchini kwa sasa, ametamka ha… Read More