Serikali ya Jamhuri ya Dominican imempiga marufuku Miley Cyrus kufanya onesho lake katika mji mkuu kutokana na uchezaji wake.
Msanii huyo alikuwa afanye onesho lake Septemba 13 jijini Santo Domingo.
Mamlaka zinasema zimezuia onesho hilo kwa sababu msanii huyo "hucheza miondoko ambayo ni kinyume na mila na desturi, na ambayo ni kosa kwa sheria za Dominican".
Tiketi kuanzia dola 27 hadi dola 370 zimekuwa zikiuzwa kuanzia mwezi Julai.
Tume ya serikali ya Jamhuri ya Dominican inayosimamia maonesho ya hadhara imewahi kupiga marufuku uchezaji wa nyimbo katika redio ambazo ilidhani zinakiuka maadili.
Hakuna yeyote kati ya Cyrus au waandalizi waliosema chochote kuhusiana na kufutwa kwa onesho hilo.
Msanii huyo anatarajiwa kuhudhuria tuzo za MTV za video bora - MTV Video Music Awards- ingawa hatofanya onesho lolote.
Katika tuzo za mwaka jana aligonga vichwa vya habari baada ya kucheza miondoko ya kutatanisha na mwimbaji Robin Thikle.
Related Posts:
Nick Minaj auawimbo wa Nick minaj umevunja recodi ya kuangaliwa na watu wengi zaid ndani ya masaa 24 umesema mtandao wa vevo, minaji kavunja record iliyowekwa na Miley Cyrus (Wrecking Ball) uliotazana na 12.3 million
Nick… Read More
Diamond atangaza ndoa
Diamon na mpenziwe Wema
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platinumz ametangaza ndoa na mchumba wake wa muda mrefu Wema Sepetu anayosema itafungwa hivi karibuni.
Msanii huyo ghali zaidi nchini kwa sasa, ametamka ha… Read More
MILEY CYRUS APIGWA MARUFUKU SANTO DOMINGO
Serikali ya Jamhuri ya Dominican imempiga marufuku Miley Cyrus kufanya onesho lake katika mji mkuu kutokana na uchezaji wake.
Msanii huyo alikuwa afanye onesho lake Septemba 13 jijini Santo Domingo.Mamlaka zinasema … Read More
NGOMA MPYA YA CHIDI BENZ AKIMSHIRIKISHA A-Y NA DIAMONDI
Ngoma aliyoitambulisha katika kipindi cha xxl ngoma ambayo beat katengeneza Dully
ngoma yenyewe hii hapa
Icheki hapa… Read More
Rihanna na Chris brown kuna nini kinaendelea?????
Rihanna na Chris brown kushow love!
Chris brown akiwa anaheza mpira wa kikapu kuonesha upendo Rihanna alikuwa amekaa anacheki game inavyokwenda huku akionesha upendo(akishow love)
Ila wameonekana wa… Read More