MASHABIKI WAUA MCHEZAJI


Mchezaji mmoja wa soka raia wa Cameroon amefariki baada ya kupigwa na kitu katika kichwa chake kilichorushwa kutoka kwa mashabiki mwishoni mwa mechi katika ligi ya Algeria.
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 24 Albert Ebosse aliyekuwa akiichezea kilabu kubwa ya JS Kabylie alikuwa ameifungia timu yake bao la pekee katika mechi ambayo timu hiyo ilishindwa kwa mabao mawili kwa moja na kilabu ya USM Alger.
Kitu kilichomgonga kichwani kilirushwa baada ya mechi kukamilika,wakati ambapo wachezaji walikuwa wanarudi katika chumba cha kujianda.
Waziri wa maswala ya ndani nchini Algeria ameagiza kuanzishwa uchunguzi kuhusu mauaji hayo.

Related Posts:

  • Eto’o kulamba mwaka mmoja Anfieldkwa ufupi Eto’o kwa sasa ni mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na klabu ya Chelsea na hivyo Liverpool wanataka kumpa mwaka mmoja wa kuichezea timu yao licha ya sasa kuwa kwenye hatua nzuri ya kumsainisha Mario Balot… Read More
  • Mario Balotelli kwenda liverpool Meneja wa Liverpool Brendan Rodgers anataka kumsajili mshambuliaji wa AC Milan Mario Balotelli, huku pauni milioni 14 ikidhaniwa kutosha kufanikisha uhamisho wake (Sunday Express),… Read More
  • WENGER ASEMA MILANGO IPO WAZI KWA THOMAS VERMAELEN Kocha wa Arsenal , Arsene Wenger amethibitisha kwamba beki wake wa kati Thomas Vermaelen ambaye amebakisha mwaka mmoja katika mkataba wake huenda akaiama club hiyo maarufu kama wabeba mitutu wa london katika kipindi hiki cha… Read More
  • TETESI ZA SOKA ULAYAArsenal wapo tayari kupambana na Manchester United kumwania beki wa Borussia Dortmund Mats Hummels, 25, kwa kutoa pauni milioni 30 (Sunday Mirror), Manchester United wanakabiliwa na wakati mgumu kumsajili winga wa Real Madrid… Read More
  • matokeo ya mechi za premier league Aston Villa 0 - 0 Newcastle United Southampton 0 - 0 West Bromwich Albion Chelsea 2 - 0 Leicester City half-time: (0 - 0) match details : 63'Diego Costa 1, 77'Eden Hazard 2 Crystal Palace 1 - 3 West Ham United half-time: (… Read More