Rihanna na Chris brown kuna nini kinaendelea?????

Rihanna na Chris brown  kushow love! 



Chris brown akiwa anaheza mpira wa kikapu kuonesha upendo Rihanna alikuwa amekaa anacheki game inavyokwenda huku akionesha upendo(akishow love)
Ila wameonekana wakipotezeana kila walipokuwa karibu

chanzo cha dailmail kinasema

That's awkward! Rihanna sits courtside as she watches ex Chris Brown take part in a charity basketball game 

They both allegedly reconciled with their ex-partners this week.
But Rihanna and Chris Brown can't seem to stay away from each other. 
The 26-year-old songstress was seen sitting courtside as she watched her 25-year-old ex take part in a charity basketball game at the Barclays Center in New York on Thursday.

That's awkward! Rihanna was seen watching ex Chris Brown play in a charity basketball game in NYC on ThursdayThat's awkward! Rihanna was seen watching ex Chris Brown play in a charity basketball game in NYC on Thursday

Related Posts:

  • Diamond atangaza ndoa Diamon na mpenziwe Wema Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platinumz ametangaza ndoa na mchumba wake wa muda mrefu Wema Sepetu anayosema itafungwa hivi karibuni. Msanii huyo ghali zaidi nchini kwa sasa, ametamka ha… Read More
  • BIFU YA KAJALA NA WEMA NINI KINAENDELEA!!!!!!!!STAA wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja, ameibuka na kudai kuwa ameweka vitu vyote vya kitoto pembeni likiwemo suala la malumbano na kujikita katika suala la ujasiriamali.   Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja.… Read More
  • Rihanna na Chris brown kuna nini kinaendelea????? Rihanna na Chris brown  kushow love!  Chris brown akiwa anaheza mpira wa kikapu kuonesha upendo Rihanna alikuwa amekaa anacheki game inavyokwenda huku akionesha upendo(akishow love) Ila wameonekana wa… Read More
  • Nick Minaj auawimbo wa Nick minaj umevunja recodi ya kuangaliwa na watu wengi zaid ndani ya masaa 24 umesema mtandao wa vevo, minaji kavunja record iliyowekwa na Miley Cyrus (Wrecking Ball) uliotazana na 12.3 million Nick… Read More
  • MILEY CYRUS APIGWA MARUFUKU SANTO DOMINGO Serikali ya Jamhuri ya Dominican imempiga marufuku Miley Cyrus kufanya onesho lake katika mji mkuu kutokana na uchezaji wake. Msanii huyo alikuwa afanye onesho lake Septemba 13 jijini Santo Domingo.Mamlaka zinasema … Read More